Wednesday, February 18, 2015

WAHESHIMIWA JANET MBENE NA MOHAMMED ABOUD WAENDELEA NA ZIARA YAO DUBAI

Waheshimiwa Janet Mbene na Mohammed Aboud, leo wameendelea na ziara yao ya kikazi Dubai. Katika kikao cha leo, ujumbe huu pamoja na mwenyeji wao Mhe. Omar Mjenga, wamefanya mazungumzo ya biashara na Rais Mstaafu wa Comoro Mzee Sambi.
Pichani ni mazungumzo hayo yakiendelea.

4 comments:

  1. Kaka< quality iko juu sana. unatumia camera gani?

    ReplyDelete
  2. Kaka< quality iko juu sana. unatumia camera gani?

    ReplyDelete
  3. Kaka< quality iko juu sana. unatumia camera gani?

    ReplyDelete
  4. simu ya Samsung Note3

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake