Tuesday, July 21, 2015

WEMA SEPETU MBUGE VITI MAALUM SINGIDA


4 comments:

  1. Wahuni wa ccm hawataacha kukupigia kura. Na wakubwa wa ccm watakuangukia upite. CCM imejaa uhuni tu siyo kwa lengo la kuongoza nchi ifanikiwe!! Kweli huyu mwanamke wa aina hii Mbunge!!

    ReplyDelete
  2. Yaani ccm bwana sijui nikiite chama .......... kweli chama kimeingilia hata hao pia mmm

    ReplyDelete
  3. ukistaajabu ya musa utaona ya firauni hata huyu malaya pia jamani kweli hiki chama kimekosa dira na mwelekeo kabisa

    ReplyDelete
  4. kwanza hivi viti maalum nini na vinasaidia nini na vina faida gani au nikujaza tu watu mnaowataka hapo bungeni, wala hela za wananchi za bure

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake