ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 23, 2015

AEESHA KAMARA ANYAKUA TAJI LA MISS TANZANIA USA AVIKWA TAJI NJE YA UKUMBI BAADA YA MAJAJI KUTENGUA MATOKEO

Jaji Michael Lewis McBride akimvisha taji Aeesha Kamara mara tu baada ya majaji kutengua matokea ya aliyekua mshindi wa dakika 45 kwa madai kwamba aliyevikwa taji haukua chaguo lao. Picha zote na Vijimambo Blog/Kwanza Production
Miss Africa USA 2014-2015 akimvisha umalikia wa Miss Tanzania USA Aeesha Kamara
Aeesha Kamara akipata picha ya kumbukumbu na Miss Africa USA 2014-1915
Aeesha Kamara
Kwa mapicha kibao ya jinsi mashindano hayo yalivyokua Bofya soma zaidi

Aeesha Kamara na Aziza Gama katika picha ya pamoja
Aeesha Kamara na Aziza Gama katika picha ya pamoja
Aeesha Kamara na Aziza Gama katika picha ya pamoja na miss Africa USA
Kushoto ni mama ya Aeesha akiwa katika picha ya pamoja na washindi
Kushoto ni mdogo wake Aeesha nae akipata picha ya kumbukumbu.
Mwandaaji wa Miss Tanzania USA Ma Winny Casey (kati) akipata picha na mshindi miss Tanzania USA chaguo la majaji kulia ni jani Elaine Roecklein
Mshindi wa tatu Joyce Mkapa kutoka New York
Mshindi wa pili Aziza Gama
Aliyekua mshindi wa kwanza na baadae majaji kubadilisha matokeo Doreen Panga kutoka New York
Mr. Africa USA akipata picha na aliyekua mshindi wa mwanzo wa miss Tanzania USA Doreen Panga
Majaji wakipata picha na aliyekua mshindi wa mwanzo



8 comments:

Anonymous said...

Kwani si.ilionekana tu waandaaji walilenga upande fulani yaani sisi waTanzania bado hatufunguki. Bora kutofanyika.

Anonymous said...

Shame on you Ma Winny, waandaaji na Ma jaji!
Mnadhalilisha watoto wa watu!

Anonymous said...

Mama,Win,.Aibu tupu,kwanini watu wengine wasianze Miss Tanzania,hapa kumkomowa huyu mama,awezi tena kwanza amezeeka,ajui anachokifanya.kila,mwaka aibu,halfu anapendelea wazi,mwakani piga uwa akuna ,atakaenda,huyu,mama kajiaribia jana,abadiliki akubali kushauriwa.

Anonymous said...

Haya ni mambo ya ajabu how comes mnabadili matokeo baada ya kuvalisha taji.
Inabidi kumuomba msamaha huyo binti na waTanzania kwa ujumla...
Shame on you

Anonymous said...

Siku ingine mjifunze huyu muandaaji kila mwaka anakua kashapanga nanimshindi ajali wala chaguo la majaji kila mwaka ni shakala bagala nimeona aibu blog karibu zote wameongelea hii kitu ndio watu mnasema mpo USA ptuuuuu ,muandaaji tafuta shughuli nyingine ufanye haya mashindano waachie wenye ujuzi nao na mtoto wa watu jumbe umlipe hela yake kiroho safi la sivyo utakuja tolewa nishai kwenye fb usicheze na watoto wa kimarekani shauri yako ,na mwakani utakuja niambia hata watu kumi hutopata kwa style hii .umewapotezea watu mda wao na kuwasumbua watoto wa watu bure .

Anonymous said...

That's exactly what happen every year.Ndio maana niliapa sitasuport tena hii shughuli kazi ya huyu mama ni kusumbua watoto wa watu na kupendelea anayetaka yeye na watu wake kuwin.Shame on you mama Winnie miaka yote umenyamaziwa na unaendeleza tu this time wamechagua wao wenyewe.

Anonymous said...

hahahahaha...naomba kucheka kwanza. kwi kwi kwi

only wa-TZ will do something like this. utadhani mchezo wa kuigiza vile tena ule wa ki-primary school

Anonymous said...

everyone get over yourselves!

Well-deserved CONGRATULATIONS to Aeesha Kamara for her title which she is representing with dignity, as seen last night (Friday 18 Sept) at the Four Seasons Hotel Washington DC for the African Leadership magazine reception. Her physical beauty is matched by her inner beauty

An Admirer