Friday, August 14, 2015

EDWARD LOWASSA ATOA UJUMBE MZITO USIKU HUU

4 comments:

  1. Mwendo mdundo baba kanyaga twende,nilishakuwa police baba nakuelewa sana ni amri tu za wakubwa tunazifuata lakini hali zetu ni mbaya.

    ReplyDelete
  2. nenda shule anonymous wa 8:20pm, utasubiri sana magogoni mtaiona kwa mbali tu

    ReplyDelete
  3. Wewe

    Anonymous Anonymous said...
    nenda shule anonymous wa 8:20pm, utasubiri sana magogoni mtaiona kwa mbali tu

    August 14, 2015 at 10:23 PM

    Shule gani uliyokwenda Wewe au PhD za u feki mnazopewa dunia mksitwa madr
    CCM tunaichukia kama Hitler

    ReplyDelete
  4. wewe anonymous wa 2:51pm, Hitler unamjua???!!!! au ndio akili yako kama ya viongozi wa ukawa kwa kuuza chama kwa papa. bado hujaon subiri kampeni zianze ili umjue papa. na wewe kachukue phd feki kama zipo

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake