Tuesday, August 11, 2015

FLAVIANA MATATA SENDOFF NDANI YA PANDE ZA SHINYANGA


CUSTOMIZED DRESS from scrach….ikiwa imesimamiwa na ze stylist ROSE KOKUHILWA ‘FASHION JUNKII’
Ni kwa neema tuuuuuu na rehemaaa, ni kwa neema tuu……ndo nyimbo ilikuwa inaunguruma kwa spikaaa na mabiharusi na mwenzie akawa wanaingia kwa kunesa nesa

MISA YA SHUKURANI ILIFANYIKA NYUMBANI MCHANA

naturalista hadi siku ya harusi

MADAMEEE DIANA AKITUMIKA
HATIMAYE USIKU UKAWASILI BI HARUSI AKAZAMA UKUMBINI

TUKIO Lililofuata ni ufunguzi wa champagne….mambo ya cheers na nini….B12 alisimamia show
Pi harusi wakati akimsaka WAubani akajaa tumpe password aliko
MENGINEEEE TUWAACHIE BABA NA MAMA…… YASHINYANGA YALIBAKI SHINYANGA

3 comments:

  1. Wallah kazi ipo!!!!

    ReplyDelete
  2. Bwana harusidiye aliyemshika bibi harusi.sura hatariiiii labda mambo ya pesa.

    ReplyDelete
  3. Hongera Flavy..... Shose Mungu yupo atakuongoza kwenye hili

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake