Thursday, August 6, 2015

FOLENI YAZIDI KUKIDHILI ENEO LA MAFIATI MPAKA SOWETO JIJINI MBEYA

2 comments:

  1. Hongereni sana jiji la Mbeya kwa kukua. Wahandisi wa jiji akina Laurean Sanya mnatakiwa kuonyesha elimu muliyoipata Urusi kwa :
    1 - Kuongeza Lanes
    2- Kujenga Fly overs
    3- Kuweka signal (traffic) lights

    Kama ulivyoona Warusi walivyofanya wakati ukisoma huko, ni lazima uonyeshe utofauti kati yako na mhandisi aliyesomea bongo.

    ReplyDelete
  2. Ni kukithiri na si kukidhili. Jamani tujitahidi kujifundisha hii lugha yetu. Ni lugha nzuri sana. Ikiwa sisi wenyewe tunaiharibu hivi hao watoto wetu itakuwaje?

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake