Friday, August 14, 2015

HII HATARI SASA....UKAWA WAUNDA JESHI LAO WANAJIITA FFU WA CHADEMA WAONE MAVAZI YAO YALIVYO


11 comments:

  1. Hata CCM wanao Green brigade. Chadema needs them more than CCM does...kwani CCM wana ulinzi wa dola.
    Na pia kwa Tanzania sio ajabu kuwa wa walinzi binafsi. Kuna makundi ya sungu sungu, na pia private security guards wa kila aina, including wenye kubeba silaha za moto. Hawa ulioweka hapa hawana silaha za moto. Naomba ubadili kichwa cha habari, kwa ni dhahiri huu ni uchochezi wa upande mmoja. Ahsante.

    ReplyDelete
    Replies
    1. tulipofikia sasa kwa upinzani huu
      hamna kiongozi wa kututoa
      hapa wanapopakataaa
      wananjaa sana hawa
      pongezi kwako dr sraa

      Delete
  2. yup!!! In 1970's mabomu yanalipuka kule Ocean Road- watu wengi walikufa kwa kukombea uhuru na heshima ya muafrica na kuondoa apatheid au social and economic disrimination in Africa as a whole.. CMM took the risks to assure that all humans are respected, given equal justice, and benefitis for most or all the time. This responsiblity remained to be the core value of the Tanzania Governace regardless of ruling political party.

    ReplyDelete
  3. uchochezi gani wewe anonymous wa 7:01pm, kichwa cha habari hakibadiliki na wewe fungua blogu yako uweke kichwa chako cha habari. bado hamjaona subirini kampeni zianze na huyo kapi lenu.

    ReplyDelete
  4. Nilikuwa napita aka yamefikiya haya
    Jeshi la polisi mko wapi
    Hallo mko CCM bibi na bado

    ReplyDelete
  5. Mkuki kwa nguruwe
    CCM ni Mali ya jeshi kumbe inauma Ukawa wakiwa wa ulinzi wao

    ReplyDelete
  6. Mwenye hii blog kawa kama Michuzi. CCM tu.

    ReplyDelete
  7. mimi nafikili hilo sio tatizo.ila wasiwasi wangu
    ni hawa wanaojiita vyama vya upinzani kwahali hii ya siasa za mwaka huu
    sizani kama twaweza pata kiongozi wa kweli maana asilimia kubwa ni waroho wa madaraka.
    hili swala la huyu rowassa litaikost sana ukawa siku za usoni
    huyu mimi sina

    ReplyDelete
  8. Well said na maoni ya hapo juu. Huu ni uchochezi na uwekaji wa doa kutoka kwa wapapmbe wa sisiem. Hawaendi na facts. Wako tayari kuchapisha chochote ili tu kuleta uwoga kwa wananchi. Kwa taarifa zenu smear tactics zitashindwa mwaka huu. Thank goodness kwa social media kwani kwa haraka sana mbinu za ccm za kuvuruga amani zinaweza kutambulika kwa haraka na kusawazishwa. Try again! Ccm kuweni wastaarabu. Acheni kusambaza uongo. It won't work this time.

    ReplyDelete
  9. Tumechoka na maneno Uchocheni
    Uvunjifu wa amani
    Tunataka mabadiliko na maendeleo
    CCM fungeni midomo yenu
    Tunaichukia CCM Kama hitler

    ReplyDelete
  10. Ulinzi wa amani nchini ni kzi n wajibu wa polisi. Acheni mawazo mafinyu!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake