Saturday, August 15, 2015

Nape: Makada wanaohama hawatunyimi usingizi

9 comments:

  1. HAMNA LOLOTE NYIE CCM 40 YENU IMESHAFIKA

    ReplyDelete
  2. Piga domo Nape, piga tarumbeta, piga mayowe haisaidii tumewachoka tena tumewachoka sana wananchi tumeamua kufa au kupona lazima tulete mabadiliko mwaka huuuuuuuuuuuuuuuu, tutaona km hii nchi yenu au wetu sisi wananchi

    ReplyDelete
  3. NAPE wewe ndio unakididimiza chama chetu kwa kauli zako zisizokuwa na msimamo!!

    ReplyDelete
  4. Ilani ya CCM maana yake ni kwamba ukiwa kiongozi ulinde maslahi ya viongozi na anayekosea au kuiba alindwe aendelee kuhujumu hakuna kufukuzana. Ndio maana yake hakuna jipya na ndilo limewatafuna waTanzania.!!

    ReplyDelete
  5. REALLY? I DOUBT KAMA KIONGOZI BORA UNAWEZA KUSEMA HIVYO UNLESS UNATANGULIZA MASLAHI YAKO MBELE NA SIYO YA CHAMA.

    ReplyDelete
  6. Ni kweli Nape unachosema sababu umefika hapo ulipo kwa sababu baba yako aliwai kuwa kada wa CCM. Mimi ambaye si ndoto ya kufika hapo ulipofikia tunajitoa CCM taratibu kwenye tawi nililojiunga huko dispora.

    ReplyDelete
  7. Na baaado subiri kampeni zinaanza oil zitakuwa pipa na pipa. Wee endelea kusibiria ku-nock engine!!?

    ReplyDelete
  8. Tibaijuka na ex mwanasheria mkuu majizi majizi
    Mmeyapitsha kugombea ubunge
    It's over
    It's over it's it's it's it's over Tumechoka

    ReplyDelete
  9. Boko boko nape
    Mbona hata mke wala mchumba huna kulikoni

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake