Piga domo Nape, piga tarumbeta, piga mayowe haisaidii tumewachoka tena tumewachoka sana wananchi tumeamua kufa au kupona lazima tulete mabadiliko mwaka huuuuuuuuuuuuuuuu, tutaona km hii nchi yenu au wetu sisi wananchi
Ilani ya CCM maana yake ni kwamba ukiwa kiongozi ulinde maslahi ya viongozi na anayekosea au kuiba alindwe aendelee kuhujumu hakuna kufukuzana. Ndio maana yake hakuna jipya na ndilo limewatafuna waTanzania.!!
Ni kweli Nape unachosema sababu umefika hapo ulipo kwa sababu baba yako aliwai kuwa kada wa CCM. Mimi ambaye si ndoto ya kufika hapo ulipofikia tunajitoa CCM taratibu kwenye tawi nililojiunga huko dispora.
HAMNA LOLOTE NYIE CCM 40 YENU IMESHAFIKA
ReplyDeletePiga domo Nape, piga tarumbeta, piga mayowe haisaidii tumewachoka tena tumewachoka sana wananchi tumeamua kufa au kupona lazima tulete mabadiliko mwaka huuuuuuuuuuuuuuuu, tutaona km hii nchi yenu au wetu sisi wananchi
ReplyDeleteNAPE wewe ndio unakididimiza chama chetu kwa kauli zako zisizokuwa na msimamo!!
ReplyDeleteIlani ya CCM maana yake ni kwamba ukiwa kiongozi ulinde maslahi ya viongozi na anayekosea au kuiba alindwe aendelee kuhujumu hakuna kufukuzana. Ndio maana yake hakuna jipya na ndilo limewatafuna waTanzania.!!
ReplyDeleteREALLY? I DOUBT KAMA KIONGOZI BORA UNAWEZA KUSEMA HIVYO UNLESS UNATANGULIZA MASLAHI YAKO MBELE NA SIYO YA CHAMA.
ReplyDeleteNi kweli Nape unachosema sababu umefika hapo ulipo kwa sababu baba yako aliwai kuwa kada wa CCM. Mimi ambaye si ndoto ya kufika hapo ulipofikia tunajitoa CCM taratibu kwenye tawi nililojiunga huko dispora.
ReplyDeleteNa baaado subiri kampeni zinaanza oil zitakuwa pipa na pipa. Wee endelea kusibiria ku-nock engine!!?
ReplyDeleteTibaijuka na ex mwanasheria mkuu majizi majizi
ReplyDeleteMmeyapitsha kugombea ubunge
It's over
It's over it's it's it's it's over Tumechoka
Boko boko nape
ReplyDeleteMbona hata mke wala mchumba huna kulikoni