ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 23, 2015

POLE POLE AMCHAMBUA SUMAYE

5 comments:

Anonymous said...

polepole huna jipya unaloweza kuwaambia waTanzania ni bora ukafyata kwani yote unayosema huna mwelekeo. tutakupuuza hivyo hivyo

Anonymous said...

Huyu mpumbavu sana anataka watu wafie sisiemu kama ni baba au mama yao.huyu mpumbavu anachefua hata kumsikiliza eti PM alimwita amfanyie kampeni ni nani atakayehitaji msaada wa kisiasa wa hili juha. Huu ni usanii labda anatafuta ukuu wa mkoa malock akiingia lakini sumaye ameshasoma takwimu EL ndiyo rais wa awamu ya tano.

Anonymous said...

utampuuza mbona bado unaangalia blog yake? mtu mzima ovyo, ukweli unauma!!!!!

Anonymous said...

Msaka tonge huyo,hana jipya.

Anonymous said...

Ukweli unauma yaani jamaa anazo mpaka kanda za video jinsi Sumae alivyojiapiza kwamba fisadi lowasa akipitishwa CCM yeye Sumae anamwaga mboga dah! Kwa kweli wazee wetu inaonyesha bado wanashindwa kuendana na ulimwengu wa sayansi na teklojia bado wapo kule kule kwenye zama za giza. Wanasahau kwamba leo ukichepuka tu bwana mdogo wa darasa la saba kesha kuchapkia kwenye simu kideo yake. Ahsante sana bwana pole pole kwa kweli wewe ni mtu wa kisasa hasa na mtanzania mzalendo wa kweli endelea kuelimisha watanzania kazi njema kaka. Hao wanaokubeza na kulia kulia kama Ali yanga watalia sana nwaka huu hata bado.