Jumuiya ya Watanzania New York New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inasikitika kuungana na Ebra Nyagaly wa Vijimambo New York kutangaza msiba wa dada yake Mpenzi Asha Nyagaly kilichotokea Dar es Salaam, Tanzania. Dada amekutwa na mauti nyumbani baada ya kuzidiwa ghafla akitokea hospitali alipokwenda kupata matibabu
Kwa sasa unaweza kumpigia simu Ebra NY na kumpa pole simu 347 475 4313
Msiba utakuwa nyumbani kwa
Ebra
702 E 37th St,
Brooklyn, NY
Mwenye Enzi Mungu amsameh Marehemu makosa yake na awape wafiwa subira..Ameen.
Hajji Khamis
Chairman
Pole sana Ibra
ReplyDeletePole sana rafiki yetu unayetuletea habari na kutuunagisha.
ReplyDeletePole sana Ibra. Tunamchangia vipi mfiwa sisi tulio mbali?
ReplyDeletePole mkuu
ReplyDeleteUnakutakia ustaamilivu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi pole sana .
ReplyDelete