Saturday, September 26, 2015

DAR-ES-SALAAM, BONGO


6 comments:


  1. Bado Bongo haijafikia hata chembe ya Nairobi..siye siasa nyingi maamuzi/vitendo zero..

    http://www.cnn.com/2015/02/10/africa/nairobi-africa-intelligent-city/

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani Nairobi ndio kipimo cha maendeleo?

      Delete
  2. Kwani ni nani kakuambia tunashindana?

    ReplyDelete
  3. Kwani mashindano haya!

    ReplyDelete
  4. Hayo maoni ya kusema bongo haijaifikia nairobi kama yametolewa na mkenya sawa na anyway wakenya majisifu ndio kazi yao ingawa hapo kwao hawana wanachokimiliki karibu kila kizuri unachokiona kinamilkiwa na wageni. Laki kama haya maoni yametolewa na mtanzania basi ni miongoni mwa wale watanzania wapumbavu kabisa kwa kiasi fulani wanatia kichefuchefu hata kuwaita watanzania.....watanzania ambao labda wanaulakini na utanzaia wao au wana roho mbaya au wana mawazo mgando ya kisiasa za chuki zime tawala katika fikra zao kwa kushindwa kuthamini vya kwetu. Picha ya hapo juu inaonyesha jinsi Dar inavyopiga hatua na kweli kama mtanzania najisikia fahari kuona vitu vya maendeleo kama hivi. Sasa leo mtu anaruka kama uharo, Aaagh! Bado bongo haijaifikia nairobi hata chembe, we baradhuli nini? Kwani Nairobi inaifikia hata chembe Johannesburg?

    ReplyDelete
  5. Mimi mbongo
    Lakini yote yang'aayo si dhahabu
    Kenya wametushinda
    Muindo mbinu ya Dar tangu enzi za mkoloni
    Kwani uzuri wa mji in vipaa anga
    Tumeshelewa
    Kwanini ulaya au USA wanajenga vipaa anga
    1. Hakuna nafasi
    2 muindo mbinu wamejenga hata kwa miaka 50 ijayo
    3 maji na umeme Hakuna shida

    Je bongo tunavyo vijezo hivi

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake