Wednesday, September 30, 2015

Diamond Platnumz - Ccm Number One

3 comments:

  1. Ccm namba one kwa wizi
    CCM namba one kwa kukosa busara
    CCM number one kwa kuuza nyumba za uma bure
    CCM namba one kwa kuuza unga
    Community hod ari kwa kufunja haki za binadamu
    CCM namba one kwa kuwa nyima walimu mishahara
    CCM namba one kwa kuchakachua elimu ya tanzania
    CCM namba one kwa kuwa na uwezo wa kupokea twiga kwenye ndege
    CCM namba one kwa raisi wake kuishi airport
    CCM namba one kwa nchi kukosa umeme
    CCM namba kwa kurahusu viongozi wake kubeba hela za escrow kwa magunia

    ReplyDelete
  2. Diamond pesa umekunja huku unatubaniaa chama changu huna mpango na wewe myeyushaji tarehe 25 haiko.mbali! Wamekukunjia ngapi??

    ReplyDelete
  3. Watu wanafikiria maendeleo siyo kulalamika tu kila wakati. Mafisadi bomba linaziba hivyo sasa mmebaki kugwaya. Kama hamuwezi kuishi chini ya serikali ya CCM ombeni mpate uraia wa nchi mlioko kwani bosi wenu haingii Ikulu na hatakuwa na hela ya kuenedelea kuwafadhili!!!!!!!

    CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!

    CCM Ikulu tena 10/25/2015.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake