Thursday, September 17, 2015

Kabla barabara hii ilikuwa hivi kipindi cha mkoloni.

Barabara ya Dodoma – Manyoni (km 127) na Manyoni – Singida (km 118) kabla na baada ya ujenzi kwa kiwango cha lami. 

3 comments:

  1. Mtapiga kampeni kila kona
    Wetu in Lowassa we do t care sorry it's Lowassa
    We need change we are feedup

    ReplyDelete
  2. CCM OYEE. Ni jambo la kujivunia kuchukua miaka 50 kuweka lami.

    ReplyDelete
  3. Kabisa ilimchukuwa Lowasa zaidi ya miaka 40 kujiunga na upinzani tena baada ya kuambiwa wewe ni fisadi hufai kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake