ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 30, 2015

NAPE AKIHUTUBIA WAKAZI WA IRINGA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM

6 comments:

Anonymous said...

Boko boko hili
Mchicha mwiba

Anonymous said...

Nape wezi wenginwako humo ndani uliko !! Badala ya kutuambia kinachofanywa unatuambia Lowasa Lowasa huna aibuuh. Unaimaliza chama ya CCM.

Anonymous said...

Sasa kazi imegeuka kupiga muziki kwenye vipazia sauti vya kampeni!! Tatizo EL tumesahau sera na nini tuyakavyowakomboa walala hoi wa Tanzania. Hakuna utaifa kuna umimi tuuh.!!

Anonymous said...

Sema sera. Useme sera za ccm!!!

Unknown said...

Jembe limezungunza maneno msumari yamepiga ndipo hawakuwezi ukweli unauma, waache ukawa wajawe na mihemko vigongo visito hivyo .

Anonymous said...

Sera ni CCM bwana. Ukawa hamna kitu - uongo, kulalamika, matusi na vurugu tu.