Wednesday, September 30, 2015

NAPE AKIHUTUBIA WAKAZI WA IRINGA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM

6 comments:

  1. Boko boko hili
    Mchicha mwiba

    ReplyDelete
  2. Nape wezi wenginwako humo ndani uliko !! Badala ya kutuambia kinachofanywa unatuambia Lowasa Lowasa huna aibuuh. Unaimaliza chama ya CCM.

    ReplyDelete
  3. Sasa kazi imegeuka kupiga muziki kwenye vipazia sauti vya kampeni!! Tatizo EL tumesahau sera na nini tuyakavyowakomboa walala hoi wa Tanzania. Hakuna utaifa kuna umimi tuuh.!!

    ReplyDelete
  4. Sema sera. Useme sera za ccm!!!

    ReplyDelete
  5. Jembe limezungunza maneno msumari yamepiga ndipo hawakuwezi ukweli unauma, waache ukawa wajawe na mihemko vigongo visito hivyo .

    ReplyDelete
  6. Sera ni CCM bwana. Ukawa hamna kitu - uongo, kulalamika, matusi na vurugu tu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake