Saturday, September 26, 2015

TASWIRA YA EID AL ADHA NEW YORK


 Sherehe za Eid Al hajj New York Watanzania walikutana kusherehekea kwa chakula na zawadi za michezo ya watoto. Kama unavyo ona Shekhe akiongea mbele ya Watanzania hao walio kuwa wamejumuhika na familia zao kwenye ukumbi wa Madina Hall Brooklyn New York. Kwa taswira zaidi ya mambo alivyokuwa nenda kwenye soma zaidi.


1 comment:

  1. ahsanteni kwa picha za new York lakini this time mmetubania. hatuwaoni vizuri watu wetu na ndugu zetu wa huku new York.eid mubarak

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake