Habari nyingine hazina hata mshikoPesa si za kwao zinatuhusu sisi niniMsituletee habari za ulaya na AmericaMtu hata baba yake hamsaidii kujishauwa hataAkatambe TandaleKama anapesa ananunue nyumba Florida, Miami au MonacoAsiinge kunya kwa tembo
wifu wa nini wewe unakuwa kama demu au demu? kula limao wewe. diamond dangote na zari ndo habari ya mujini kama hupendi usizisome.unawifu kama demu aliyeachwa na mpenzi wake na kumuona rafiki yake ana tembea na bwana wake.kula limao au saga chupa ukiona wifu haupunguwi.
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku yake
Habari nyingine hazina hata mshiko
ReplyDeletePesa si za kwao zinatuhusu sisi nini
Msituletee habari za ulaya na America
Mtu hata baba yake hamsaidii kujishauwa hata
Akatambe Tandale
Kama anapesa ananunue nyumba Florida, Miami au Monaco
Asiinge kunya kwa tembo
wifu wa nini wewe unakuwa kama demu au demu? kula limao wewe. diamond dangote na zari ndo habari ya mujini kama hupendi usizisome.
ReplyDeleteunawifu kama demu aliyeachwa na mpenzi wake na kumuona rafiki yake ana tembea na bwana wake.kula limao au saga chupa ukiona wifu haupunguwi.