Thursday, October 29, 2015

DR TEMBA TANZANIA PRESIDENTIAL ELECTION


5 comments:


  1. Tunawashukuru wanadiaspora wote waliochangia huu mchakato wa uchaguzi wa rais na madiwani nchini Tanzania. Huu mchakato unaonyesha kuwa Watanzania wa ugaibuni wanachangia mambo mengi sana na wana elinu ya juu ya kisayansi kusaidia nchi yetu. Mungu ibariki Tanzania na Watanzania wote popote waliko duniani.

    ReplyDelete
  2. dr.temba..salute,there is only one doctor

    ReplyDelete
  3. Hiyo statistics we ukawa kilaza wa 11:24am, hive ukawa hambijui zaidi kushabikia. Namba Joyo babe utaishia kuisoma tu

    ReplyDelete
  4. dr temba,hii 30.95 ni ya nani au na wewe ni mkono mrefu wa wezi wa NEC.you are supposed to edit your figures in a mannely accurate presentation otherwise you really continue to disturb the already disturbed tanzanians.take-care.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake