Friday, October 2, 2015

GLOBAL TV ONLINE: UNAJUA KWA NINI LOWASSA ANATAKA KUWA RAIS? MSIKILIZE HAPA

3 comments:

  1. Sija ona sera ya Lowasa hatabmoja,,,, anachukia umaskini kweliiiii atatupa utajiri haya wapiga kura uamuzi wa kwenu.

    ReplyDelete
  2. unaposema hujaona sera ya lowassa hata moja,namba tukuulize ulitaka umrushie akaunti namba yako ya benki ili urushiwe rushwaya pesa kama inavyowafanywa na ccm hivi sasa mbona umefyatuka kiwendawazimu hivyo?mimi nina wasiwasi na upstairs yako.mheshimiwa lowassa anahutubia kwa lugha ya wazi safi,ya kiswahili ametutangulizia` sera-vipaumbele vyake 12 tena kwa kipindi kifupi ndani ya siku 100 toka atakaoapishwa,huelewi,husikii hivi kweli wewe ni mtanzania mpiga kura au ni mnyarwanda wa kwa kagame?kafie huko wee chizi.

    ReplyDelete
  3. ikiwa lowasa kawa waziri kwa miaka miwili tu kabadilisha mpaka wa monduli na majirani zake. Je tukimpa nchi nzima aitawale si atavuruga mipaka yote kama anayotaka yeye na kuleta machafuko kila mahali

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake