Saturday, October 10, 2015

#HAPA NI KAZI TU# WEWE ENDELEA KUSUBIRI MABADIRIKO WATOTO WASIENDE CHOONI



DR TEMBA WA TEMBA ENGINEERING SERVICE AKIWA KAZINI KUDUMISHA USEMI WA MGOMBEA URAISI KUPITIA CCM DR MAGUFULI #HAPA KAZI TU#

Dr Temba akitoa maelezo mbele ya wageni waliotembelea  kwenye viunga vya chuo cha UDC, Dr Temba amedesign machine ya kukaushia samaki na matunda kwa ajili ya chuo hicho na wageni hawa walitembelea ili kujionea jinsi machine hiyo inavyofanya kazi.
Hii ni video ya machine hiyo ilivyowashwa kwa majaribio. Ukiwa na swali binafsi kwenda kwa Dr Temba unaweza kumwandikia email: hii temba66@gmail.com

9 comments:

  1. Safi sana dakta Temba, unatupa moyo tuongeze bidii na kujiamini kwenye fani.

    ReplyDelete
  2. Hayo ndiyo mambo ya kujifunza na siyo kuchafuana kama CCM.

    ReplyDelete
  3. Bei ya hiyo mashune ni muhimu kujua ili tuone kama unaweza kuwasaidia Watanzania wa kipato cha chini kwa kuiagiza.

    ReplyDelete
  4. Kila mtz aishiye usa angekua ana post kazi zake sijui ingekuaje. Kuna watz wako NASA..... Hawana mikwara yoyote, wako kimyaaaaaa

    ReplyDelete
  5. sasa wewe ccm kamchafua nani!!! utawajua wafa maji tu, mambo ya machine na siasa wapi na wapi ndugu. #hapa kazi tu# wewe subiri mabadiliko watoto washindwe kwenda choo.

    ReplyDelete
  6. CCM inawanyima usingizi,,,, fanya kazi watotot wako waende shuleee wee kaa tu usubiri mabadiliki kutoka kwa mafisadi papa.

    ReplyDelete
  7. hao mafisadi papa tujiulize wametokea wapi katika chama gani? na mgomea wenu mbona mnaweka slogan zake tu "eti hapa kazi" katoka katika chama ghani. mtu mzima anapigishwa push up utadhani tahira au mwana masumbwi na kumbe anagombea uraisi.maajabu haya.

    mnaushahidi mpelekeni kortini kama yeye ni fisadi papa hao wengine walio baki katika chama ni akina nani.

    hiyo kazi slogan yenu ulizeni msiojijua yeye kaingilia ujenzi ya barabara kwani waziri alikuwa hana shughuli za maana tatizo la watanzania wenzangu ni kwamba. ili uwaongoze mazezeta inabidi na wewe ujifanye unapiga kazi sijui una unachanganya zegee.

    wananchi wakukubali really?

    watanzania wa sasa si mabumbubu,mapoyoyo,mabulaaaaaz,vichwa vya wanda wazimu.

    wenye sifa utawaona nakubaliana na mdau hapo juu watanzania wako NASA watanania wanapiga job huwasikii kungatuka kwenye vijiblog.kimya kama sio wao.

    ujiuize anayejisifu sana mwisho wake utakuwaje?

    kazi akiingia ikuli na mapapa mafisadi wako nyuma yake hizo kazi atafanyaje thubutu kama sio kuwatumikia mabwana zake.

    tunajua mtashinda kwa kuiba kura lakini mwaka huu mtamjau mr white hair labda mumuuweee.

    ReplyDelete
  8. hiyo machine mbona tumewekewa clip mtu anasafisha tu mashine mbona hatujaonyeshwa hao samaki wakikaushwa.

    ReplyDelete
  9. ibra I love you.kama unamtu basi samahani.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake