Sunday, October 25, 2015

HAPPY BIRTHDAY

Benja  Mwaipaya wa maryland
Timu ya vijimambo inakutakia kheli ya siku yako ya kuzaliwa


2 comments:

  1. Ndio nimegundua kuwa hii blogu feki ya vijimambo ni mashine ya ccm. Habari zoote humu leo inahusu ccm. What a shame. Subirini hacking.....

    ReplyDelete
  2. Don't whine mwana-Ukawa, I see lot of campaign coverage pics za Lowasa as well. Binafsi, kama msomaji wa blogu hii naona vijimambo hawana ubaguzi kama unavyodai, na inasikitisha kuona watu wa ukawa mnalalamika kila wakati eti Mnaonewa...blah, blah, blah..kama watoto wadogo. Get over it, and GROW UP FOLKS!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake