Friday, October 9, 2015

SURA YA MBELE YA MAGEZETI JITURIRISHE NA UDAMBWI DAMBWI ULIOPAMBA MAGAZETI HAYO


HABIRI NDIYO HII

6 comments:

  1. Huna mpango mwandishi u kibaraka WA CCM
    It's not reality kwa Watanzania
    Magezeti yote ni Bao la mkono

    ReplyDelete
  2. Slaa na Mrema miaka yote mmekuwa walaghai wa mageuzi kumbe mnachukua mshiko CCM na serikali yake. Ni hatari sana.

    ReplyDelete
  3. PUMZI IMEKATA,MAANA YAKE CCM HAWANA JINSI,WAMEANGUKA,WAMEKWISHA VIBAYA,KIFO CHA MENDE,NDEMBEDEMBE.NA HII NDIYO HALI HALISI,NA HUU NDIO UKWELI WA LEO TANZANIA.CHANZO CHA KUANGUKA HUKU KWA CCM NI SIASA ZA CHUKI BINAFSI ZA KIKWETE KUMBANIA LOWASSA CHAGUO LA WENGI.NI FUNDISHO LA MAISHA.MWISHO WA UBAYA WANASEMA WASWAHILI,AIBU.

    ReplyDelete
  4. Muandishi anaelekea naye kalipwa shilingi milioni 50. Hali halisi hapa Tanzania ni kwamba watanzania wameshahamka, si kweli kama watanzania ni wapenzi wa CCM kwani hata viongozi wao wenyewe wanawakimbia.

    ReplyDelete
  5. Ngoja tarehe 25/10/2015 ndipo utakapojua kuwa Watanzania bado wanaipenda CCM.

    ReplyDelete
  6. Ngojeni tarehe 25/10/2015 ndiyo mtajua kuwa Watanzania bado waipenda CCM.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake