Mh. Mst. Damiani unakila jinsinya kuonekana na busara. Lakini kwa hili la wakati huu basi ni gumu na taarifa kama hii inaonyesha wazi kabisaa kila kitu kimelazimishwa na ndio maana bado hamkutaka marekebisho ya katiba ili kila mtakalo liendelee luwa hivyo. Mnatutakia memahh??
Wakubali wasikubali haitawasaidia kwani ni wananchi na siyo NEC walioamua na wala siyo mamuluki wao kutoka nje ya nchi waliopelekwa lupango kusubiri kesi yao mahakamani kwa kosa la kutaka kugushi na hivyo kuvuruga matokeo ya uchaguzi.
Mh. Mst. Damiani unakila jinsinya kuonekana na busara. Lakini kwa hili la wakati huu basi ni gumu na taarifa kama hii inaonyesha wazi kabisaa kila kitu kimelazimishwa na ndio maana bado hamkutaka marekebisho ya katiba ili kila mtakalo liendelee luwa hivyo. Mnatutakia memahh??
ReplyDeleteHawataki kukubali, noma choke hold hiyo.namba ya ushindi haiwezekani kupikika
ReplyDeleteWakubali wasikubali haitawasaidia kwani ni wananchi na siyo NEC walioamua na wala siyo mamuluki wao kutoka nje ya nchi waliopelekwa lupango kusubiri kesi yao mahakamani kwa kosa la kutaka kugushi na hivyo kuvuruga matokeo ya uchaguzi.
ReplyDelete