Tuesday, October 13, 2015

UPDATES: LEMBELI NA MUKYA WANUSURIKA KIFO MARA BAADA YA GARI LAO KUPINDUKA

 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh James Lembeli na Joyce Mukya wanusurika kifo mara baada ya gari waliokuwa wakitumia kusafiria kutoka Simanjiro kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka.Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna hawakuumia lakini tutaendelea kuwajuza kadri habari inavyotufikia.Picha na Mdau Massawe


CHANZO: LUKAZA BLOG

1 comment:

  1. Pole kaka mbunge mtarajiwa
    Natoka ngongwa mimi

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake