Monday, November 9, 2015

KATIBU MKUU KIONGOZI OMBENI SEFUE AZUNGUMZIA ZIARA YA KUSTUKIZA YA RAIS MAGUFULI MUHIMBILI

4 comments:

  1. Kwa mtindo huhuu wa kuhujumu huduma za umma ili kutoa nafasi ya biashara binafsi zishamiri ndivyo wakubwa hawa walivyoweza kuua bila huruma wala aibu mashirika ya Reli,ATC, Tazara,Hospitali,NBC nk.
    Ni mkumbushe ti mheshimiwa raisi kuwa wazembe kama hawa hawafai kupangiwa kazi zingine (ref: hotuba zako za kampeni ) wanastahili kupumzishwa tu ili kurudisha nidhamu ya kazi.

    ReplyDelete
  2. Raisi tukumbushe tu mheshimiwa ulisema wazi wanastahili kupumzishwa tu ili kurudisha nidhamu ya kazi. Kuwapa kazi zingine ni to move one problem from there to there, it is not a solution at all.

    ReplyDelete
  3. Kwa nini wahamishiwe idara zingine??? Kwa nini wasifukuzwe kazi kabisa na kufunguliwa mashitaka kwa kuihujumu uchumi wa taifa??? Sasa hiyo kama sio kulindana je ninini?? Hapa sio kazi ni kulindana tu. Na hizi sera zake hazitafika mbali ni moto wa mabua tu!!!

    ReplyDelete
  4. Mueshimiwa magufuli anajua nini anachokifanya, ukawa mtabakia kuweweseka na kupiga makelele kama mafisi lol
    Huo moto wa mabua ndio ulioinyoosha wizara ujenzi kutandaza mikeka ya bara bara karibu Tanzania nzima na ilikuwa moja ya wizara kila waziri anaepelekwa kuiongoza anafeli mpaka lilipofika tinga tinga akaweka mabo sawa . Kwa hivyo kwa magufuli mtaisoma namba.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake