Sunday, November 8, 2015

MNUSO WA PARTY NYEUPE BALAA SPRINGFIELD, MASSACHUSETTS

Madj wa Dj Nassa na Dj Maka wakirusha wadau wa Massachusetts na viunga vyake siku ya Jumamosi Novemba 7, 2015 kwenye White Party iliyotia fora na kuweka rekodi ya White Party iliyokua haina kiingilio
Wadau wakiselebuka.
Hajat Kibodya akizima mishumaa kwenye siku yake ya kuzaliwa ilivyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 7, 2015 Springfield, massachusetts.
Walimbwende wakiwa katika picha ya pamoja.

Wadau wa pati nyeupe wakipata picha ya pamoja  huku rumba likiendelea

Picha ya pamoja.
Ukodak moment.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


7 comments:

  1. Congratulations to all: safi sana, mlipendeza na mlifurahi sana. Huu ni mfano wa upendo, ushirikiano na maendeleo ya Jumuiya zote.- Love you all.

    ReplyDelete
  2. White party kunamtu kavaa kaki mwengine kavaa nyeusi wabongo bwana ukiacha kitenge shida hahahaaa mmependeza wadau msema kweli usichukie.

    ReplyDelete
  3. Pengaza mdogo wangu zainab Lukale

    ReplyDelete
  4. wamependeza wamelazimisha, shapeless

    ReplyDelete
  5. Dada zangu wakitanzania pungezeni unene chapati na maandazi waachieni watoto

    ReplyDelete
  6. Haters๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, keep hating, white party ilikuwa the bomb, congratulations waandaaji๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake