Honestly why not wearing white and call it black party or swearing kitenge and calling it Swahili party? Serious i don't intend to hurt any body but why our African sisters try scratching their beautiful black skin and look white?
Globalization has transformed many cultures. Waafrika ndiyo tumekuwa the most affected by globalization. Tunakopi kila kitu western, hata kujichubua ili tuonekane white? Mdau wa 3:36PM anayo point nzuri, ingawa sisi copycats inatugonga vichwa, lakini ukweli ni kwamba at the end of the Night, all those White dresses, skirts, sneakers, shirts, and pants brings back the old bad memories and stigma that, white is superior and therefore, must be worshiped and celebrated in style by the Sukuma, Haya, Hehe, Chaga, Yao, my tribe...Mang'ati, and many other tribes. Tuachane na huu upuuzi, wacha tusherehekee vitu vinavyokuza mila na desturi za mwaafrika, hasa Mtanzania in particular. Sawa, tumesoma/tunasoma, tunaishi/kufanya kazi hapa Marekani, lakini siyo lazima tukopi kila kitu. Mfano, wenzetu hapa wanakula sahani moja na mbwa, hata kulala nao, jee nasi tukopi hilo?
�������� this is funny, tumewacopyi white ppl kuvaa white, 1) kwa hio nyinyi haja wa hi kuvaa nguo nyeupe? Yale mashati ya shule bongo ni kwa sababu tulikuwa tu nataka kuwa wazungu, au wale wanyakyusa wanapovaa nguo nyeupe kwenye ngoma zao za asili walikuwa wanataka kuiga wazungu? Waislam wanavaakia Sanda nyeupe Bila shaka wanataka kuwa wazungu kwenye maisha yao baada ya ufufuo. 2) wewe 3; 36 na 5:2 u make me laugh hii ni blog ya wabongo mmekuja humu mnaongea lugha iliyopita na wazungu, hata lugha yenu hamuongei, then mnauliza utamaduni, so uuu soooo proud to be african that u want us not mention the word white party attire, but u can't speak ur own nation language. I've met some ignorant ppl but u 2 have tipped the scale, go have a life, if u don't have one, go take a shower. Wivuuuu tuuuu, miafrica bwana ndio maana hatuendelei, akili zetu ziko ....
Kwani kuandaa au kuhudhuria white party ndio maendeleo? Wadau wanahoji kwanini ile party ya watu weusi iitwe white party? Haialisi kilicho kusudiwa ni kivazi cheupe kuwa kitambulisho cha party. Hata hao wanaozikana kwa kumvalisha maiti nguo nyeupe sidhani kama bibilia au koraani imeamrisha hivyo itakuwa ni moja ya psychological damage waliotujengea watu weupe kwamba utapokelewa kwa furaha zaidi na mungu ukiwa mweupe lakini ukweli ni kwamba Mungu anafuraha kumpokea kiumbe chake kinachorejea kwake mavazi la aina yeyote hata uchi ilimradi kama kiumbe hicho kilitenda mema duniani. Tukirejea kwenye mada yetu kuhusu white party ndio haileti taswira nzuri . Hata ukisema white party attire, it means ni vazi linalovaliwa kwenye party ya watu weupe. Kwanini isiwe black party with black attire nadhani ingeleta maana na kujitukuza na watu wangependeza zaidi. Hakuna haja ya kukasirika tunapojaribu kubadilishana mawazo kwa sababu kwa bahati mbaya sisi watanzania bado tunakasumba kuuona uweupe au watu weupe ni watu maana sana hadi kufikia kiwango cha kujidhalilisha, just let us glorify and be proud the way we are and always blackness come first cause that is the reality the way we are created with.
Kufanya all white party attire sio maendeleo lkn kwa wa2 kama nyinyi kufikia kwamba watu wa mefanya hivyo kwa sababu tunataka kuwa tu kuzaliwa wazungu is wrong, lkn wewe uliyezaliwa unazungumza kiswahili au lugha za kwenu, umekuwa hapa unaandika english..nani mwenye kasumba hapa wewe unayejifanya kiswahili kinakupa tabu kuandika au waliotaka watu wavae nguo nyeupe, je ingeitwa let's remember the nyakyusa by wearing their tradition white attire...mngesemaje?
Kama umeoa na wewe ni christian, je mkeo alive a nguo nyeusi? Msitake kukomplicate things, now u trying to pretend u feel what black american feels. Please give me a break... none of us go thru what african American went thru or going thru..
Mwafrika yeyote anaejitambua anayohaki ya kufeel what African Americans went through kwa sababu matatizo waliyoyapata au wanapoendelea kuyapata yalianzia Africa au mnasahau kuwa hawa ni wahanga wa janga la utumwa lilokuwa likiitafuna Africa kwa karne kadhaa . Kusema none of us went through what African American did is total out of sense. Why kambarage nyerere once said, we Tanzanians we can't declared ourselves as a free nation if our Southern African brothers and sisters are not free. Ndio hata ile gauni la harusi kuwa jeupe ni mipango ya watu weupe kukifanya kila kitu cha furaha kiwe na asili ya ueupe. Kwani kuna tatizo gani vazi la harusi likawa na rangi nyeusi au kijani? Na Kwanini Suti au vazi la msiba liwe na rangi nyeusi? Huoni kama kuna siasa ndani yake? Kwa watu wengi wenye maono mepesi na hasa waafrica watanzania ndio mara nyingi tunashindwa kujitambua sisi ni watu wa aina gani.
Anony, @6:05PM acha machachari. Unadhani kuvaa white attire and partying all night means LIFE well-lived? and you are so proud of it? Tupo wengi hapa Marekani na wengi wamesoma sana. Maoni yako ni duni kidogo kwa sababu mvutano uliopo hapa ni kuhusu PARTY na KIVAZI CHEUPE..the Two key words. Binadamu tunavitumia vitu vingi vyenye rangi mbali mbali. Lakini Kihistoria, Western civilization imeamini kuwa WHITE is associated with PURITY/WANTED na DARK/BLACK pertains to DIRTY/UNWANTED. Basi imekuwa hivyo kwa karne nyingi, na sisi Waafrika tumekopi hilo kwa sababu tumetawaliwa kwa miaka mingi na Wakoloni (Wazungu/Westerners). Tafadhali tujaribu kuchambua hili kwa makini, kwani ni muhimu kwa jamii ya Kiafrika/weusi ijue jinsi rangi nyeupe (WHITE) ilivyojipatia MASIFA mengi duniani kuliko rangi nyeusi? na kwa nini Weusi tunajiona bora tukivaa na kusherekea rangi NYEUPE? Hili siyo swala la wivu, kama wadau wengine wanavyodai. Kwa wale waliosoma Historia ya WESTERN CIVILIZATION, nina uhakika suala hili siyo gumu kulielewa, na kwa wengi ambao hamjapata fursa ya kusoma Historia hiyo, itakuwa siyo rahisi kuwaelewesha. Yaelekea Anony. #3:36PM #2:29AM #5:29AM wanao welevu wa historia nikilinganisha na wengine wenye maoni hapo juu. The bottom-line is, Can black people wake up, come to their senses, and figure this out?
Honestly why not wearing white and call it black party or swearing kitenge and calling it Swahili party? Serious i don't intend to hurt any body but why our African sisters try scratching their beautiful black skin and look white?
ReplyDeleteGlobalization has transformed many cultures. Waafrika ndiyo tumekuwa the most affected by globalization. Tunakopi kila kitu western, hata kujichubua ili tuonekane white? Mdau wa 3:36PM anayo point nzuri, ingawa sisi copycats inatugonga vichwa, lakini ukweli ni kwamba at the end of the Night, all those White dresses, skirts, sneakers, shirts, and pants brings back the old bad memories and stigma that, white is superior and therefore, must be worshiped and celebrated in style by the Sukuma, Haya, Hehe, Chaga, Yao, my tribe...Mang'ati, and many other tribes. Tuachane na huu upuuzi, wacha tusherehekee vitu vinavyokuza mila na desturi za mwaafrika, hasa Mtanzania in particular. Sawa, tumesoma/tunasoma, tunaishi/kufanya kazi hapa Marekani, lakini siyo lazima tukopi kila kitu. Mfano, wenzetu hapa wanakula sahani moja na mbwa, hata kulala nao, jee nasi tukopi hilo?
ReplyDelete�������� this is funny, tumewacopyi white ppl kuvaa white, 1) kwa hio nyinyi haja wa hi kuvaa nguo nyeupe? Yale mashati ya shule bongo ni kwa sababu tulikuwa tu nataka kuwa wazungu, au wale wanyakyusa wanapovaa nguo nyeupe kwenye ngoma zao za asili walikuwa wanataka kuiga wazungu? Waislam wanavaakia Sanda nyeupe Bila shaka wanataka kuwa wazungu kwenye maisha yao baada ya ufufuo. 2) wewe 3; 36 na 5:2 u make me laugh hii ni blog ya wabongo mmekuja humu mnaongea lugha iliyopita na wazungu, hata lugha yenu hamuongei, then mnauliza utamaduni, so uuu soooo proud to be african that u want us not mention the word white party attire, but u can't speak ur own nation language. I've met some ignorant ppl but u 2 have tipped the scale, go have a life, if u don't have one, go take a shower. Wivuuuu tuuuu, miafrica bwana ndio maana hatuendelei, akili zetu ziko ....
DeleteKwani kuandaa au kuhudhuria white party ndio maendeleo? Wadau wanahoji kwanini ile party ya watu weusi iitwe white party? Haialisi kilicho kusudiwa ni kivazi cheupe kuwa kitambulisho cha party. Hata hao wanaozikana kwa kumvalisha maiti nguo nyeupe sidhani kama bibilia au koraani imeamrisha hivyo itakuwa ni moja ya psychological damage waliotujengea watu weupe kwamba utapokelewa kwa furaha zaidi na mungu ukiwa mweupe lakini ukweli ni kwamba Mungu anafuraha kumpokea kiumbe chake kinachorejea kwake mavazi la aina yeyote hata uchi ilimradi kama kiumbe hicho kilitenda mema duniani. Tukirejea kwenye mada yetu kuhusu white party ndio haileti taswira nzuri . Hata ukisema white party attire, it means ni vazi linalovaliwa kwenye party ya watu weupe. Kwanini isiwe black party with black attire nadhani ingeleta maana na kujitukuza na watu wangependeza zaidi. Hakuna haja ya kukasirika tunapojaribu kubadilishana mawazo kwa sababu kwa bahati mbaya sisi watanzania bado tunakasumba kuuona uweupe au watu weupe ni watu maana sana hadi kufikia kiwango cha kujidhalilisha, just let us glorify and be proud the way we are and always blackness come first cause that is the reality the way we are created with.
ReplyDeleteKufanya all white party attire sio maendeleo lkn kwa wa2 kama nyinyi kufikia kwamba watu wa mefanya hivyo kwa sababu tunataka kuwa tu kuzaliwa wazungu is wrong, lkn wewe uliyezaliwa unazungumza kiswahili au lugha za kwenu, umekuwa hapa unaandika english..nani mwenye kasumba hapa wewe unayejifanya kiswahili kinakupa tabu kuandika au waliotaka watu wavae nguo nyeupe, je ingeitwa let's remember the nyakyusa by wearing their tradition white attire...mngesemaje?
ReplyDeleteKama umeoa na wewe ni christian, je mkeo alive a nguo nyeusi? Msitake kukomplicate things, now u trying to pretend u feel what black american feels. Please give me a break... none of us go thru what african American went thru or going thru..
ReplyDeleteMwafrika yeyote anaejitambua anayohaki ya kufeel what African Americans went through kwa sababu matatizo waliyoyapata au wanapoendelea kuyapata yalianzia Africa au mnasahau kuwa hawa ni wahanga wa janga la utumwa lilokuwa likiitafuna Africa kwa karne kadhaa . Kusema none of us went through what African American did is total out of sense. Why kambarage nyerere once said, we Tanzanians we can't declared ourselves as a free nation if our Southern African brothers and sisters are not free. Ndio hata ile gauni la harusi kuwa jeupe ni mipango ya watu weupe kukifanya kila kitu cha furaha kiwe na asili ya ueupe. Kwani kuna tatizo gani vazi la harusi likawa na rangi nyeusi au kijani? Na Kwanini Suti au vazi la msiba liwe na rangi nyeusi? Huoni kama kuna siasa ndani yake? Kwa watu wengi wenye maono mepesi na hasa waafrica watanzania ndio mara nyingi tunashindwa kujitambua sisi ni watu wa aina gani.
ReplyDeleteAnony, @6:05PM acha machachari. Unadhani kuvaa white attire and partying all night means LIFE well-lived? and you are so proud of it? Tupo wengi hapa Marekani na wengi wamesoma sana. Maoni yako ni duni kidogo kwa sababu mvutano uliopo hapa ni kuhusu PARTY na KIVAZI CHEUPE..the Two key words. Binadamu tunavitumia vitu vingi vyenye rangi mbali mbali. Lakini Kihistoria, Western civilization imeamini kuwa WHITE is associated with PURITY/WANTED na DARK/BLACK pertains to DIRTY/UNWANTED. Basi imekuwa hivyo kwa karne nyingi, na sisi Waafrika tumekopi hilo kwa sababu tumetawaliwa kwa miaka mingi na Wakoloni (Wazungu/Westerners). Tafadhali tujaribu kuchambua hili kwa makini, kwani ni muhimu kwa jamii ya Kiafrika/weusi ijue jinsi rangi nyeupe (WHITE) ilivyojipatia MASIFA mengi duniani kuliko rangi nyeusi? na kwa nini Weusi tunajiona bora tukivaa na kusherekea rangi NYEUPE? Hili siyo swala la wivu, kama wadau wengine wanavyodai. Kwa wale waliosoma Historia ya WESTERN CIVILIZATION, nina uhakika suala hili siyo gumu kulielewa, na kwa wengi ambao hamjapata fursa ya kusoma Historia hiyo, itakuwa siyo rahisi kuwaelewesha. Yaelekea Anony. #3:36PM #2:29AM #5:29AM wanao welevu wa historia nikilinganisha na wengine wenye maoni hapo juu. The bottom-line is, Can black people wake up, come to their senses, and figure this out?
ReplyDelete