Thursday, November 5, 2015

TB JOSHUA AKUTANA NA MH. LOWASSA KWA MARA NYINGINE

Mh. Edward Lowassa akimkaribisha mgeni wake, Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, wakati alipomtembelea kwa mara nyingine nyumbani kwake, Masaki Jijini Dar es Salaam leo Novemba 4, 2015. 
Muhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, TB Joshua, akizungumza jambo na Mh. Edward Lowassa pamoja na viongozi wakuu wa UKAWA, Mh. Freeman Mbowe, Mh. James Mbatia na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru. Picha na Othman Michuz

1 comment:

  1. Waombee ili waokoke maana greed ya madaraka inatawala roho zao. Wanayo madhambi ya kutaka kuleta vurugu nchini, shetani kisha wapotosha hao, tafadhali TB Joshua nenda nao Nigeria ukawatawaze.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake