Monday, November 16, 2015

Watu watano waokolewa wakiwa hai Wilayani Kahama baada ya kufukiwa na kifusi katika mgodi mwezi uliyopita

1 comment:

  1. Yaani jamaa wanaitwa binadamu wenzao "manyani" halafu hata hawa waandishi habari wanajadili hili suala kama ni la kawaida tu. Hili ni suala kubwa ambalo linatakiwa kufanyiwa kazi kubwa, wenye migodi hiyo wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sharia mara moja. Bila hivyo Tanzania itaendelea kuwa mahali pa wachache kuneemeka na wengi malofa na manyani kufa kabla ya wakati wao!!!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake