Friday, December 4, 2015

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AMTAMBULISHA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU KWA RAIS WA CHINA MHE. XI JINPING, JIJINI JOHANNESBURG

Rais Mstaafu wa awamu Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, kwa Mhe. Rais wa China Xi Jinping, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China uliofanyika leo Jijini Johannesburg. Mhe Rais Mstaafu amehudhuria Mkutano huo kama Rais Mstaafu. Picha na OMR

17 comments:

  1. Magufuli na huyu kikwete kulikoniiiiiiiiiiii
    Wa kukayaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. CCM
    Yale Yale kula matapishi
    Yao
    Safari za nje zimekatazwa iwaje kikwete awepo
    Shame magufuli

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kupewa umri mkubwa ukabakia na akili ndogo nako kazi.kabla ya kutoa maneno yako yasiyokuwa na maana ulifanya utafiti kujua uwepo wa Kikwete kwenye mkutano huo?Ni mara ngapi umeona maraisi wastaafu ie Mkapa,Obasanjo,Mbeki,Bill Clinton etc katika mikutano wakiwa ktk mialiko binafsi au wakiwakilisha na kugharamiwa na entities tofauti mbali na nchi zao husika?

      Delete
  3. All former presidents have their own status and budget and have to be respected.

    ReplyDelete
  4. Tatizo la Africa kubebana Tumechoka
    Magufuli usionee wadogo hata waliokuweka madarakani washughulikie nao
    Otherwise your fisadi as well
    Hakuna mipaka ya kubana matumizi
    Shame youuuuuuuu CCM

    ReplyDelete
  5. Mr Ally
    Mnyapaa nakujuwa sana toka mitaa ya Bergen norwary
    Usitete huu uozo WA CCM

    ReplyDelete
  6. Respect is earned!!

    ReplyDelete
  7. Lakini hii ni kuonyesha kumpongeza magufuli asingeenda
    Lakini kazowea tangu alipokuwa rais
    Na rais WA Tanzania huwezi kulinganisha na USA au first world president
    Tu masikini magufuli kaanza tungetegemea basi hata wao wakubwa wafikiri
    Usiniambie eti gharama zote zimelipiwa hakuna

    ReplyDelete
  8. I love mugufuli
    What he is doing now for Tanzania it's amazing
    But he need support either from u nor from me
    Hata kwa Watanzania wote tukibana tuanzie juuuuuuu
    That's my massage
    Watu wachini hawaelewi eti rais aliyepita analipiwa na wale waliomwita
    Kwanini hiyo award asingepokea Tanzania na Watanzania wakamuona

    ReplyDelete
  9. Last but not least least
    Magufuli like challenge
    It's doesn't matter where come from
    CCM or opposition
    As matter it's benefit for Tanzanian

    ReplyDelete
  10. Kama anipenda Tanzania it's time for him kupata award zote Tanzania

    ReplyDelete
  11. All former presidents of TZ are bona fide representative of Tanzania, expect to see more them.

    ReplyDelete
  12. Rais mstaafu kuhudhuria sio mbaya ila tendo la kumtambulisha makamu kwa Rais wa China ni aibu kwasababu wote walio alikwa wanajulikana wao kama marais au wawakilishi. kwa hio kila atapoenda makamu itabidi mstaafu akamtambulishe ama, nafikiri makamu hajaenda peke yake ana wasaidizi ambao watamweleza nini cha kufanya

    ReplyDelete
  13. Aliyesema kuwa JK amtambulisha makamu wa rais wa TZ hasemi ukweli. Kuna itifaki ktk kila kitu na kuna mkuu wa itifaki Ikulu na Wizara ya Mambo ya Nje, wala siyo kazi ya rais mstaafu.

    ReplyDelete
  14. Nafurahi sana kwa changiaji juu
    Hii imeonescha jinsi mna uchungu WA Tanzania na Mali za Tanzania
    It's our time now to be honesty all of us
    We need to support manguli he can't do it alone
    Pls mwinyi, mkapa, kikwete
    Tupunguze matumizi na ziara nje
    Kwa marais wastafu itapependeza ukipokea nyumbani kwako
    Siyo Kila Leo kwenye mindege jamani

    ReplyDelete
  15. Sioni tatizo la kikwete kwenda South Africa kama mwakilishi ukizingatia ana uhusiano wa karibu na raisi wa china lakini machungu ya watanzania naelewa. Tanzanians are still hurt and feel betrayed by JK. Safari 300 kaacha wagonjwa wamelala chini MOI

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake