Safi sana hata m'buyu ulianza kama mchicha. Kwakweli huo ni ujasiri mkubwa wa kujaribu na dalili njema inatia moyo kuona kwamba watanzania tunapigana kutaka kufika walipofika wenzetu katika nyanja ya teknolojia.
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku yake

ReplyDelete