Wednesday, January 15, 2014

UKITAKA UZURI NI LAZIMA UZURIKE

Elizabeth ni mrembo alietumia pesa nyingi kujikarabati mwili wake, sasa gharama hizo zina mtesa kutokana na sehemu ya juu  ya mwili wake kuzidi kukuwa siku hadi siku tofauti na matarajio yake.
Elizabeth ni mrembo mwenye makazi yake huko Hollywood ana umri wa miaka 43 alianza kujikarabati mwili wake toka akiwa na umri wa miaka 32. $200,000 zilitumika kwa kazi hiyo ya kupendezesha mwili wake. Midomo na kifua ndiyo sehemu kuu zilitumia na gharama hizo.
Mapozi ya ufukweni ya Elizabeth
Urembo unakazi hii yote ni kuongeza mvuto.

1 comment:

  1. Minaona kweli kaongeza mvuto wa kuangaliwa na kuchekwa sio ule mvuto wa kuvutia bali wakutisha.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake