VIJIMAMBO
Monday, November 10, 2025

GLORY ASHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE NA MARAFIKI ZAKE, DURHAM, NORTH CAROLINA

›
   Birthday girl Glory akifurahia Sherehe ya siku ya kuzaliwa wake aliyesherehekea na ndugu, Jamaa na marafiki zake iliyofanyika siku ya Jum...
1 comment:
Saturday, October 4, 2025

MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA YATEKETEZA KILO 4,402 ZA DAWA ZA KULEVYA JIJINI DAR ES SALAAM

›
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikisha zoezi kubwa la kuteketeza dawa za kulevya zenye uzito wa jumla ya k...
Saturday, August 23, 2025

ONA JINSI TANI 18 4 YA SHEHENA YA DAWA MPYA YA KULEVYA NA WATUHUMIWA WALIVYOKAMATWA

›
TANI 18.4 YA SHEHENA YA DAWA MPYA YA KULEVYA YAKAMATWA DAR ES SALAAM Dar es salaam Agosti 13, 2025 MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa...

SERIKALI YAREJESHA TABASAMU KWA CHIDI BENZ

›
SERIKALI YAREJESHA TABASAMU KWA CHID BENZ:  AWAASA WASANI KUKAA MBALI NA DAWA ZA KULEVYA   SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudh...
Thursday, August 7, 2025

TAUS CHOIR CONCERT DMV

›
Unakaribishwa kwenye TAUS CHOIR CONCERT Wakali wa hizi kazi Zabron Singers kutoka Tanzania kwa kushirikiana na DMV Advent chorale na wengine...

DKT. MWAISOBWA AKABIDHIWA PRESSCARD

›
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Dkt. Cosmas Mwaisobwa, Msaidizi wa Makamu wa Rais (Hotuba) akipokea Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (P...
Tuesday, July 29, 2025

MHE. JESCA MSAMBATAVANGU ASHUKURU KAMATI KUU CCM KUREJESHA JINA LAKE UBUNGE URINGA MJINI

›
Aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM, Mhe. Jesca Msambatavangu ameshukuru kamati kuu kurudisha jina lake k...
Sunday, July 20, 2025

Ifahamu dawa mpya aina ya Flunitrazepam (Rohypnol) na atahri zake kwa afya yako.

›
 

Ifahamu dawa mpya ya kulevya aina ya Ketamine na Madhara yake kwa afya yako.

›
 
Thursday, July 17, 2025

WIMBO MAALUM WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050

›
Sunday, June 29, 2025

OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA IMEFANIKIWA SANA USHIRIKI WAKE KATIKA KESI ZA DAWA ZA KULEVYA

›
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka ni mhimili muhimu katika mapambano dhidi ya uhalifu wa dawa za kulevya nchini Tanzania. Katika hatua za awali za ...

ALLENA AKAMATA NONDO NORTHEN HIGH SCHOOL, DURHAM, NORTH CAROLINA

›
Picha juu na chini ni Allena akipata Kodak moment mara baada ya kuhitimu high school Darasa la 2025 katika shule ya Northen High iliyopo Dur...
Thursday, June 19, 2025

RAIS WA YANGA AKUTANA NA WANACHAMA NA MASHABIKI WA YANGA USA

›
Wana Yanga na mashabiki wa Wydad Casablanca wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Yanga Eng. Hersi Said ambae pia ni Mwenyekiti wa vilabu...
Tuesday, June 10, 2025

MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AMEFUNGUA MKUTANO MAALUM WA MKONDO WA BAHARI WA PEMBA -UFARANSA

›
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati akifungua Mkutano wa pembezoni uliyohusu “Kujeng...

WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JUNI 10, 2025

›
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi na walimu wa shule ya msingi na awali ya Bahabena iliyopo Kibaha mkoani Pwani katika v...
Monday, June 9, 2025

SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA KUKABILI ATHARI ZA MAZINGIRA

›
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis wakati akijibu maswali bungeni jijini Dodoma leo tareh...

WAZIRI MKUU: SERIKALI YATENGA 43BN/- KUIMARISHA MICHEZO SHULENI

›
 * Azindua mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA Iringa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwenye uzinduzi wa Mashindano ya UMITASHUMT...
Sunday, June 8, 2025

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI ALIHUTUBIA BARAZA LA EID AL ADHAA UKUMBI WA DKT.ALI MOHAMED SHEIN SUZA TUNGUU MKOA WA KUSINI UNGUJA

›
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Sh...

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA MWANDUMBYA ATETA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA ALSTOM

›
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw. Elijah Mwandumbya, akiongoza kikao na ujumbe wa Kampuni ya ALSTOM, ambapo pamoja na mambo mengine wali...

SIO JAMBO JEMA WAZAZI KUWALAZA WATOTO WENYE JUNSIA TOFAUTI CHUMBA KIMOJA

›
Na Issa Mwadangala. Wazazi na Walezi Mkoani Songwe wametakiwa kutowachanganya watoto wenye jinsi tofauti katika chumba kimoja ikiwa ni pamoj...
Thursday, June 5, 2025

MADAKTARI BINGWA WAMTIBU MZEE ALIYEKUWA NA TATIZO LA KUOZA SEHEMU YA UTUMBO.

›
Na John Walter -Manyara Madaktari Bingwa wa Rais Samia wamefanikiwa kumfanyia upasuaji wa utumbo mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka (69) am...
Tuesday, June 3, 2025

TUINUKE PAMOJA – MIDAHALO YA KIJAMII KUELEKEA USAWA WA KIJINSIA

›
Na John Walter -Dodoma Katika jitihada za kujenga jamii yenye usawa na haki kwa wote, mradi wa Tuinuke Pamoja unaotekelezwa na TGNP kwa kush...
Friday, May 30, 2025

TANAPA WINS THE EU QUALITY CHOICE DIAMOND PRIZE 2025 FOR SIX CONSECUTIVE YEARS

›
By TANAPA Correspondent in Stockholm, Sweden. TANZANIA National Parks (TANAPA) has once again scooped the prestigious European Quality Choic...
›
Home
View web version
Powered by Blogger.