ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, September 16, 2014

AUNTY EZEKIEL NA CASSIM MGANGA WATEMBELEA MANHATTAN, NEW YORK


Hapa ni Aunt Ezekiel akijindaa kutoka tayari kuanza safari ya kukatiza mitaa ya New York City, Aunt Ezekiel yupo Marekani kwa ziara ya 4Th Vijimambo Blog Anniversary iliyofanyika tarehe 13 Sept huko Washington. DC. Aunt Ezekiel alivyotembelea New York alipata fursa ya kutembelea Tanzania Mission UN na kupata fursa ya kusign kitabu cha wageni ubalozini hapo na utiaji saini huo ulishuhudiwa na Mh. Tuvako Manongi Balozi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. Baada ya kumaliza kusaini kitabu cha wageni Aunt Ezekiel alipata fursa ya kupata ukodak wa pamoja.
Ny Ebra mwenyewe wao wa New York akiwashekesha na jambo fulani hili waongeze muda wa kuishi maana kucheka ni afya pia. Kwa picha zaidi jitiririshe soma zaidi
 
Safari ya kuingia mitaani ilianzia nyumbani kwa Ebra NY, Aunt Ezekiel katika safari yake ya New York waliongozana na Cassim Mganga Tajiri wa mahaba.
Hapa ni mambo ya Ukodak moment 
Cassim na Aunt wakipata ukodak baada ya kuingia ndani ya kituo cha train 
Aunt Ezekiel akipita kwenye gate tayari kwa kusubiri train 
Aunt Ezekiel akipata ukodak mbele ya train kwa jina maarufu New York Subway.
Ukodak baada ya kukaa kwenye train tayari kwa safari ya Manhattan katikati ya jiji la wasilo lala New York City.
Aunt Ezekiel na Deborah
Hapa ni Cassim Mganga akipata ukodak na Salimu Akida Mfanyakazi wa Tanzania Mission
Baada ya chakula safari ya mitaani ilianza 
Ukodak mitaani
Shopping madukani ndani ya Manhattan.
Shopping ndani ya dula la DR JAYS 34Th Street Manhattan.
Aunt Ezekiel akitasmini kiatu kabla ya kukinunua

2 comments:

Anonymous said...

POLE POLE BRO MALI YA WATU HIYO NAKUONA UNAKODOLEA MIMICHA,JOKES ZILIISHIA HUKO KWA MIMACHOOOOOOZ. NA WAGENI UNAWA PANDISHA SUBWAY KWA NINI USIWAPANDISHE ILE DINGA YAKO WAJISIKIYE WAKO NY JIJI LA MARAHA.

Anonymous said...

Subway is the way to go my friend. Annon hapo juu inaonekana huujui mji wa New York. Hata wall st loaded business people take the subway.