Monday, September 14, 2015

HAPA KAZI TU NA SAFARI YA MATUMAINI WAKIWA KWENYE MICHAKATO YA KUOMBA KURA

 Mkogombea Urais kupitia Ukawa akimnadi mkombea ubunge katika moja ya harakati za kuomba kura huko mikoani.
Mgombea Urais kupitia Cha Cha Mapinduzi akimnadi mgombea mchaka chaka shinja kwa nguvu zote.

5 comments:

  1. You made my day brother! Matahaira ndiyo watakao mchagua fulani hahahahaha! #HapaKaziTuu matumaini peleka angaza.

    Luka usibanie comment yangu maana siku hizi unahako kamtindo

    ReplyDelete
  2. dj luke kwa picha hizi mbili unaipendelea ccm

    ReplyDelete
  3. Hakuna ubaya wa kuipenda CCM kwani ni chama tawala leo, kesho na siku zijazo.

    ReplyDelete
  4. Jamani acheni utani mzee yupo siriaz lol.

    ReplyDelete
  5. CCM oyeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake