Friday, September 11, 2015

KUNAKO GAZETI KILICHO PAMBA LEO HII

..


.

6 comments:

  1. Mtaandika sana lakini chaguol Letu
    Ni Lowassa No way

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumbuka kununua panadol & hedex za kutosha mara baada ya 25/10/2015 kwa maana utazihitaji.

      Delete
  2. Mbona magazeti yenyewe ni machache sana au ni hayo tu ambayo umeamua uyatoe kwa leo ndugu mwana habari????????
    Asante sana na kesho usiache kuweka tena tafadhali

    ReplyDelete
  3. Anonymous, September 11, 2015 at 7:10 AM Sema Chaguo lako, chague lenu wewe na nani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu yangu, achana nao hao wenye kupungukiwa hekima na uadilifu. It's the law of nature for an unethical person to be in the company of other unethical people! Watanyamza baada ya kibano cha October 25. Najua baada ya hapo wataanza kulalama wameibiwa kura. Kumbuka, kabla ya uteuzi wa CCM walipoteza muda mwingi kwenye mitandao wakidai kwamba ndani ya CCM hakukuwa na mtu yeyote mwenye uwezo wa kukata jina la fisadi wao. Eti, "huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono". Nonsense! Mbona mafuriko yenyewe yalizuiwa kwa kidole wala sio kwa mkono mzima?

      Delete
  4. Anonymous wa September 11, 2005 at 11.42 AM nakuunga mkono hata mimi siko naye huyo wa 7.10 AM.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake