Mbona magazeti yenyewe ni machache sana au ni hayo tu ambayo umeamua uyatoe kwa leo ndugu mwana habari???????? Asante sana na kesho usiache kuweka tena tafadhali
Ndugu yangu, achana nao hao wenye kupungukiwa hekima na uadilifu. It's the law of nature for an unethical person to be in the company of other unethical people! Watanyamza baada ya kibano cha October 25. Najua baada ya hapo wataanza kulalama wameibiwa kura. Kumbuka, kabla ya uteuzi wa CCM walipoteza muda mwingi kwenye mitandao wakidai kwamba ndani ya CCM hakukuwa na mtu yeyote mwenye uwezo wa kukata jina la fisadi wao. Eti, "huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono". Nonsense! Mbona mafuriko yenyewe yalizuiwa kwa kidole wala sio kwa mkono mzima?
Mtaandika sana lakini chaguol Letu
ReplyDeleteNi Lowassa No way
Kumbuka kununua panadol & hedex za kutosha mara baada ya 25/10/2015 kwa maana utazihitaji.
DeleteMbona magazeti yenyewe ni machache sana au ni hayo tu ambayo umeamua uyatoe kwa leo ndugu mwana habari????????
ReplyDeleteAsante sana na kesho usiache kuweka tena tafadhali
Anonymous, September 11, 2015 at 7:10 AM Sema Chaguo lako, chague lenu wewe na nani?
ReplyDeleteNdugu yangu, achana nao hao wenye kupungukiwa hekima na uadilifu. It's the law of nature for an unethical person to be in the company of other unethical people! Watanyamza baada ya kibano cha October 25. Najua baada ya hapo wataanza kulalama wameibiwa kura. Kumbuka, kabla ya uteuzi wa CCM walipoteza muda mwingi kwenye mitandao wakidai kwamba ndani ya CCM hakukuwa na mtu yeyote mwenye uwezo wa kukata jina la fisadi wao. Eti, "huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono". Nonsense! Mbona mafuriko yenyewe yalizuiwa kwa kidole wala sio kwa mkono mzima?
DeleteAnonymous wa September 11, 2005 at 11.42 AM nakuunga mkono hata mimi siko naye huyo wa 7.10 AM.
ReplyDelete