Monday, September 14, 2015

LOWASSA ATOA UJUMBE MZITO JANA USIKU KUPITIA UKURASA WAKE



3 comments:

  1. Bora tutu lie sasa
    Na umbeya wa mange blog imefungwa

    ReplyDelete
  2. Sipati picha wakati amiri jeshi mkuu na raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapotakiwa kutoa hotuba UN.na kumbidi asimame kwa zaidi ya nusu saa.
    Kwa hili hata Zimbabwe watatucheka..

    ReplyDelete
  3. Hatutaruhusu hili litutokee kwani kuna kiongozi ambaye anaweza kusimame muda mrefu zaidi na ameshajionyesha tayari. CCM Oyeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake