mbowe bora unyamaze, siasa huwezi. unasema chama ni cha wananchi mbona umekiuza kwa fisadi. au huoni upuuzi uliwafanyia watanzania hususani wanachama wa chadema. njaa na vihela vitakuua ndugu. kuna maisha baada ya uchaguzi sijui utaweka wapi sura yako kwa watanzania sababu ya tamaa zako binafsi umeua upinzani!!!!!
Anaepaswa kumjibu Dr. Slaa ni Lowasa.Nyie wengine sijui akina Lisu,Mbowe,Mbatia,Ngwajima inabidi mkae pembeni, tunataka mshutumiwa mkuu ajibu shutuma zake..
mbowe bora unyamaze, siasa huwezi. unasema chama ni cha wananchi mbona umekiuza kwa fisadi. au huoni upuuzi uliwafanyia watanzania hususani wanachama wa chadema. njaa na vihela vitakuua ndugu. kuna maisha baada ya uchaguzi sijui utaweka wapi sura yako kwa watanzania sababu ya tamaa zako binafsi umeua upinzani!!!!!
ReplyDeleteUnacomment upuuzi halafu unadai mbowe mpuuzi you need to understand the subject.!!
ReplyDeleteFisadi ni baba yako wewe,usiongee pumba
ReplyDeleteAnaepaswa kumjibu Dr. Slaa ni Lowasa.Nyie wengine sijui akina Lisu,Mbowe,Mbatia,Ngwajima inabidi mkae pembeni, tunataka mshutumiwa mkuu ajibu shutuma zake..
ReplyDeletehuyu mpiga madisco nae hana mpya ndo maana akauza urais kwa lowasa. my free advise to him he would rather keep his mouth shut!
ReplyDeleteCCM mmeshikwa pabaya mwezi tu vumilia. Slaa siyo size ya Lowasa ndiyo maana UKAWA ulimpiga chini. Mbowe hajamjibu ameweka ufafanuzi chama ni nini.
ReplyDeleteAwe fisadi asiwe fisadi. Ndio tunaemtaka.
DeleteAkili matope
Delete