Aliyekuwa Mwenyekiti Cuf Taifa, Alhaj Prof. Ibrahim Lipumba akiwa katika ofisi za CUF makao makuu jijini Dar ers Salaam jana ili kuzungumza na waandishi wa habari juu ya hali ya siasa inavyoendelea nchini.
Aliyekuwa Mwenyekiti Cuf Taifa, Alhaj Prof. Ibrahim Lipumba akiagana na wanachama wa chama hicho baada ya kumaliza kuzungumza na waandishi wa habari makao makuu ya CUF jijini Dar ers Salaam jana juu ya hali ya siasa inavyoendelea nchini.
1 comment:
Lipumba acha kudandia treni kwa mbele,.Ulijitoa katika mchakato huu nini tena saa hii..umeona jua linadalili ya kuchomoza Zanzibar sasa ejiweka miongoni mwao..
Post a Comment