naomba pia habari za hapa ndani marekani na kwingineko mtuweke kama hapo zamani ulikuwa ukitaka habari za hapa au nje una click na za nyumbani pia una click sama mbna mmezitoa za hapa nchini marekani na kwinginepo.nilikuwa nafaidi kwa mimi pangu pakavu nisiye na tv wala cable. rudisheni basi ile link.ahsanteni nyote kwa kazi yenu njema.mbarikiwe daima
Naomba kujua malipo ya fundi ujenzi pamoja na vibarua wake, nimekusudia fundi wakawaida sio mtaalam alie somea, ila nimwenye uzefu tu. Analipwa kiasi gani kwa siku ?? Bongo
Naomba tupate habari za Tanzania Day in Dallas maana tukio hili ni kubwa kwa sisi Watanzania hasa ukizingatia litasaidia kutangaza culture yetu, mavazi, utalii, biashara, uchumi nk nk Asante
Naomba muatangaze simu tv wapate subscribers zaidi. Wanafanya kazi nzuri sana ya kutupandishia habari kutoka nyumbani.
ReplyDeletenaomba pia habari za hapa ndani marekani na kwingineko mtuweke kama hapo zamani ulikuwa ukitaka habari za hapa au nje una click na za nyumbani pia una click sama mbna mmezitoa za hapa nchini marekani na kwinginepo.nilikuwa nafaidi kwa mimi pangu pakavu nisiye na tv wala cable.
ReplyDeleterudisheni basi ile link.ahsanteni nyote kwa kazi yenu njema.mbarikiwe daima
TMI...
Deletenaona umelitupilia kapuni ombi langu la kuweka link za news za hapa marekani oka poa poa haina noma dj luke mutoto wa mujini.
ReplyDeleteMarch 2 kweli? Mbona mnakimbiza miezi au macho yangu.
ReplyDeleteLatest Sports News
ReplyDeleteMbona masela wote nikiwapigia simu wanajifanya nimepiga Wrong number. masela vipi Msishuke bado ndio mimi nakupeni Hi tu..
ReplyDeleteNaomba kujua malipo ya fundi ujenzi pamoja na vibarua wake, nimekusudia fundi wakawaida sio mtaalam alie somea, ila nimwenye uzefu tu. Analipwa kiasi gani kwa siku ?? Bongo
ReplyDeleteKwa anae jua
Naomba tupate habari za Tanzania Day in Dallas maana tukio hili ni kubwa kwa sisi Watanzania hasa ukizingatia litasaidia kutangaza culture yetu, mavazi, utalii, biashara, uchumi nk nk Asante
ReplyDeleteKazi yenu ni bora kabisa!
ReplyDeleteHabra njema
ReplyDeleteRIP. Walio kufa kwa boat.
ReplyDeletenice blog.
ReplyDelete