Mchezaji wa Basket Ball wa Kimataifa, Hasheem Thabeet, leo amekamilisha mchakato wa kufungua na kuendesha clinic ya michezo iliyopewa jina la Hasheem Thabeet Sprite Basket Ball Clinc jijini Dar es slaa, ambayo lengo kuu ya kaunzishwa kwake ni kuinua na kuendeleza vipaji vya mchezo huo kutoka mashuleni. Jumla ya mikoa tisa ilishiriki katika clinic hiyo kwa kutuma vijana wenye uwezo wa kucheza mchezo huo. Pichani, Hasheem akiwa na moja ya vijana hao mchana wa leo wakati akiwapa mazoezi na mafunzo.
...Hasheem akitoa darasa
...vijana wakionesha uwezo wao
...ili kucheza mchezo wa Basket Ball lazima uwe fiti
..vijana wakifuatilia mchezo kwa makini
Hasheem akiwa na Mama yake mzai na kulia ni Mkurugenzi wa Utawala kutoka Ubalozi wa Marekani nchini, Bw. Roberto Quiroz ambaye alikuwa mgeni rasmi
Mama na mwana
Bw. Quiroz akitoa nasaha zake
Hasheem nae alipata nafasi ya kuongea machache
Wadhamini wakuu Sprite kupitia mwakililishi wao Bi. Christine Maina akikabidhi sehemu ya mipira kwa ajili ya vijana hao kwa Rais wa TBF, Mussa Mziya.
Kila mkoa ulipewa mipira ya mchezo huo
Hasheem akifurahi jambo na marafiki zake waliokuwepo uwanjani hapo.
PICHA: Mussa Mateja/GPL
No comments:
Post a Comment