
TIMU YA JAMHURI
TIMU YA STARS
Timu ya Jamhuri itaikaribisha Stars kwa mechi ya kirafiki inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Atlanta,GA,siku ya jumamosi Aug 14 mechi itakayochezwa,
NOONDAY PARK Georgia 30144
489 HAWKINS STORE RD,NE
KENNESAW,GA
Mechi inatarajiwa kuanza saa 11 jioni(5pm),timu ya Jamhuri imepania sana mechi hii,imeisha aanza matangazo kwenye kitabu cha uso(facebook),Stars tunaomba mashabiki wa ATL na vitongoji Vyake waje kwa wingi kuipa nguvu Stars.
KWA MAELEZO ZAIDI Bofya Hapa
No comments:
Post a Comment