Friday, August 20, 2010

Image
Kaimu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Mkumbwa Ali (kushoto) akimpa maelezo Balozi wa Zimbabwe nchini Edzai Chimonyo (kulia), kuhusu utendaji wa kampuni katika ofisi za TSN jana. Wengine kutoka kulia ni Ofisa Ubalozi huo, Zvidzai Tahwa, Mhariri wa HABARILEO, Joseph Kulangwa, Meneja Matangazo TSN, Felix Mushi, Mhariri wa Habari HABARILEO Jumapili, Eric Anthony na Mhariri Msaidizi wa Daily News, Gabriel Mgaya. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake