Monday, August 30, 2010

Image
Kamanda wa Chipukizi wa Wilaya ya Masasi, Fatuma Rajab, akimvisha skafu Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akiingia mpakani mwa Wilaya ya Masasi akitokea Wilaya ya Newala jana katika kampeni za chama hicho za uchaguzi mkuu zinazoendelea.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake