Saturday, August 21, 2010

Kusali kwa Pamoja DMV


Watanzania Karibuni siku ya kusali. Huu utakuwa mwanzo mzuri. Wahenga walisema, "Mungu akiwa upande wetu, tumwogope nani?" Padri Wolfgang amekubali kutuombea Nafasi mahali pazuri tu kwaajili ya Misa hiyo. Anwani ni hii hapa
Capuchin College4121 Harewood Road NE
Washington, D.C. 20017

Misa saa 8 mchana jumapili ya septemba 5. 
Kwa Mawasiliano zaidi Mpigie      
Padri Wolfgang Pisa OFM Cap.  202 529 2188begin_of_the_skype_highlighting              202 529 2188      end_of_the_skype_highlighting   ext 112
or 313 316 1444 begin_of_the_skype_highlighting              313 316 1444      end_of_the_skype_highlighting  au Padri Shao 443-827-9741begin_of_the_skype_highlighting              443-827-9741      end_of_the_skype_highlighting
 
Tafadhali wapigie simu marafiki zako na wape anwani namba zetu za simu iwapo wanayo maswali. Pia ukiweza tutumie E-mail address zao na namba zao za simu. Asante.
 
Nimeambatanisha taarifa za mambo wanayofanya wenzetu wa Uganda ili itusaidie katika maandalizi yetu. Labda kuna mengi yanayofanyika lakini nani anajua?
 
Asante
Padri Evod Shao - 901 Poplar Grove St. Baltimore, MD 21216.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake