Wednesday, August 18, 2010

Meadowbrook park,Beach Dr,yafurika maji

Mvua zilizonyesha leo DMV zaleta mafuriko
Hii barabara ya Beach Dr,leo ilikua imefungwa kwa sababu ya Kijimto kinachopita kando kando ya barabara hii kufurika maji baada ya mvua kubwa kunyesha uskiku wa kuamkia jumatano Aug 18 na kuendelea mapaka mchana.
Juu na chini ni kijimto ambacho kipo karibu na Meadowbrook park,iliyopo,Chevy Chase,MD,ambacho kilisha wahi kufurika  June 2006,kwenye Birthday ya Dotto Mallongo na kusababisha wabongo Kupoteza magari yao kwa kuchukuliwa na mafuriko


Kideo inaonyesha njia ya kuingilia Meadowbrook park ilivyofurika,njia haipitiki na mafuriko yamejaa park nzima
Barabara ya Beach Dr

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake