Saturday, August 28, 2010

Mh:Mwanaidi Sinare Maajar
Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico,Mh:Mwanaidi S.Majaar,atawasili Jijini Washington,DC,Jumanne,Aug 31,2010 na ndege ya Swiss Air namba 3200 itakayotua uwanja wa Dulles,saa 9:20 alasiri.

Taarifa nyingine kuhusu Balozi Maajar zitafuata hapo baadae.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake