Watanzania wote mnakaribishwa kwenye siku ya kusali. Huu utakuwa mwanzo mzuri. Wahenga walisema, "Mungu akiwa upande wetu, tumwogope nani?". Padri Wolfgang amekubali kutuombea Misa hiyo.
ANWANI:
Capuchin College
4121 Harewood Road NE
Washington, D.C. 20017
Kwa Mawasiliano zaidi Mpigie
· Padri Wolfgang Pisa OFM Cap. 202 529 2188 ext 112
or 313 316 1444
· Padri Evod Shao 443-827-9741
901 Poplar Grove St. Baltimore, MD 21216
· Aunt Julie Sarwatt 301 431 0624
Tafadhali wapigie simu/ wajulishe marafiki, ndugu na jamaa na wape anwani au namba za za simu hapo juu iwapo wanayo maswali.
No comments:
Post a Comment